SIMAS ni mfumo wa kimtandao uliobuniwa kwa ajili ya kuendesha, kudhibiti, na kuhifadhi taarifa pamoja na miamala ya SACCOS.
SIMAS ni mfumo madhubuti unaozingatia uwazi, usahihi wa taarifa, utoaji wa huduma bora kwa mtumiaji, na utoaji wa taarifa kwa wakati halisi (papo kwa papo).
Zifuatazo ni baadhi ya moduli za SIMAS
Usimamizi wa Wanachama
Usimamizi wa Mikopo
Usimamizi wa Fedha
Usimamizi wa Mali za Kudumu
Usimamizi wa Miradi
Udhibiti wa Bajeti
Usimamizi wa Manunuzi
Usimamizi wa Malipo ya Mishahara
Taarifa na Mawasiliano kwa Wanachama
Tafadhali ingiza namba yako ya uanachama na nywila yako
SIMAS | SMS Stock Level
Fomu ya Maombi ya Uanachama
SIMAS - Job Form
Kufuatilia maombi yako ya kujiunga uanachama, jaza taarifa husika hapa chini